
‘WANANCHI ACHENI KUNUNUA DAWA ZINAZOTEMBEZWA MIKONONI,KATIKA MABASI KWANI NI HATARI KWA AFYA’
Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Iringa MKUU wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewataka wananchi waaache mara moja kununua dawa zinazotembezwa mikononi ikiwa ni pamoja na katika vyombo vya usafiri(mabasi) kinyume cha sheria kwani mara zote dawa hizo huwa ni duni na bandia. Pia amesema Serikali haitamwonea huruma mtu yeyote atakayepatikana na dawa bandia kwa kigezo…