
Dkt. Tulia Ackson aongoza kikao cha kamati ya kuratibu maandalizi ya Mkutano wa 6 wa Maspika wa Mabunge Duniani
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza Kikao cha kwanza cha Kamati ya kuratibu Maandalizi ya Mkutano wa 6 wa Maspika wa Mabunge Duniani leo tarehe 16 Mei, 2024 Geneva nchini Uswisi. Kikao hicho kilichohusisha Maspika Wawakilishi kutoka Mabunge ya…