
TADB yazidi kuongeza wigo upatikanaji mikopo kwa wakulima
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), imezidi kuongeza wigo wa mikopo kwa wakulima baada ya kuingia makubaliano ya miaka mitano na benki ya Exim ya kutoa dhamana ya mikopo ya Sh. bilioni 30 kwa sekta ya kilimo ikijumuisha ufugaji na uvuvi. Makubaliano hayo yamesainiwa leo Mei 16, 2024 katika…