Picha:Waziri Nape alivyowasili Bungeni kuwasilisha Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25.

Ni mei 16, 2024 ambapo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye alivyowasili bungeni jijini Dodoma kwaajili ya kuwasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25.   The post Picha:Waziri Nape alivyowasili Bungeni kuwasilisha Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25….

Read More

Wapalestina 600,000 wamekimbia kutoka Rafah ndani ya siku 10 :UNRWA:

Takriban Wapalestina 600,000 wamefurushwa kutoka mji wa kusini mwa Gaza, Rafah, tangu kuimarika kwa operesheni za kijeshi za Israel katika mji huo siku kumi zilizopita, UNRWA ilionya jana. Katika chapisho la X, shirika hilo lilisema: “Miaka 76 baada ya #Nakba, Wapalestina wanaendelea kuhamishwa kwa nguvu.” “Katika #GazaStrip, watu 600k wamekimbia Rafah tangu operesheni za kijeshi…

Read More

Mbinu mpya za ukeketaji zamulikwa

Morogoro. Wakati Serikali ikipambana na vitendo vya ukekektaji nchini, baadhi ya jamii zinazoendeleza mila hizo zimekuja na mbinu mpya ya kutumia dawa aina ya Vicks, ndulandula pamoja na majivu ambayo yamekuwa yakiondoa taratibu sehemu inayotakiwa kukeketwa bila kuweka jeraha. Hayo yamebainishwa jana Mei 15, 2024 na Joshua Ntandu Ofisa Mtendaji Mkuu wa shirika lisilokuwa na…

Read More

Mbowe: Hatuoni faida ya demokrasia

Mwenyekiti wa Chadema, Fremaan Mbowe amesema Tanzania haijanufaika na miaka 30 ya demokrasia kutokana na mifumo iliyopo kukinufaisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachoamini fikra zake ndizo sahihi katika kuongoza nchi. Anaripoti Salehe Mohamed, Zanzibar… (endelea). Mbowe ametoa kauli hiyo leo Alhamis katika mkutano wa demokrasia kwa mwaka 2024 unaofanyika katika Hotel ya Golden Tulip, ambapo…

Read More

WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA ECOBANK TANZANIA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu alipowasili katika kikao kilichoangazia ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, kuhusu ushirikiano kati ya…

Read More

Jezi mpya ya Arsenal msimu wa 2024/25 hii hapa

Arsenal wametoa jezi yao mpya ya nyumbani kwa msimu wa 2024/25 huku maandalizi ya kampeni mpya yakiendelea, hata kabla ya mwisho wa msimu huu. Jezi ya Adidas, ambayo inauzwa kwenye tovuti ya klabu hiyo, ni ya kitamaduni yenye rangi nyekundu na nyeupe, yenye mistari ya baharini begani. Inaangazia beji rahisi ya kanuni iliyopambwa kwenye kifua….

Read More