
MBEYA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WAWILI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Mwasile Bwiga [33] Mkazi wa Ifumbo na Isaya Julias Zumba [38] Mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shortgun Pump Action bila kuwa na kibali cha umiliki wa silaha hiyo. Awali mnamo Aprili 29, 2023 majira ya usiku…