Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

Dar es Salaam. Baba mwenye umri wa miaka 63 (jina lake halijapatikana) mkazi wa Kijiji cha Sakwa Kusini kilichopo Kaunti ndogo ya Awendo nchini Kenya anadaiwa kumuua mwanaye wakati wakizozania chakula kisha kutokomea. Tukio hilo limeripotiwa usiku wa Jumanne Agosti 26, 2025 baada ya marehemu mwenye umri wa miaka 28 kuripotiwa kwenda nyumbani kwa baba…

Read More

TPA TANGA YAELEZA NAMNA INAVYOHUDUMIA SHEHENA ZA MAGARI ZINAZOPITA KWENYE BANDARI HIYO

Na Oscar Assenga,TANGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)  Bandari ya Tanga  imesema kwamba wanatumia umakini mkubwa na ufanisi katika kuhudumia shehena  mbalimbali zinazopita kwenye Bandari hiyo ikiwemo ya magari ambayo imekuwa ikiongezeka kila mara Hayo yalisemwa na Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga  Bw. Peter Millanzi alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizosambaa…

Read More

Chadema katika makubaliano usikilizwaji kesi ya rasilimali leo mahakamani

Dar es Salaam. Kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali ndani ya  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Alhamisi, Agosti 28, 2025 inatajwa mahakamani kwa ajili ya maelekezo maalumu kuhusiana na usikilizwaji. Katika hatua hiyo pande zote zinatarajiwa kuandaa hoja zinazobishaniwa, kutokana na madai yaliyoainishwa kwenye kesi hiyo, ambazo zitaiongoza Mahakama kufikia uamuzi, kulingana…

Read More

Mwanamke Ahukumiwa Kwa Kula Nauli ya Mwanaume – Video – Global Publishers

Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos, Nigeria, imemhukumu mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 (sawa na zaidi ya Shilingi 730,000 za Kitanzania), baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer alipokea ₦30,000 (takribani Shilingi 490,000 za Kitanzania) kutoka kwa kijana aitwaye Emmanuel, aliyedai…

Read More

ANGELLAH KAIRUKI AREJESHA FOMU YA UTEUZI KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIBAMBA KUPITIA CCM

Kibamba, Agosti 27, 2025 – Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Angellah Kairuki, amerudisha rasmi fomu ya uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), hatua muhimu kuelekea kuteuliwa rasmi kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Mhe. Kairuki aliwasili katika ofisi za INEC akiambatana na mgombea ubunge…

Read More

REA YAENDELEA KUWAUNGANISHIA UMEME WANANCHI MKOANI MANYARA

::::::;; Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea kutekeleza miradi ya nishati kwa kuunganisha wateja umeme katika maeneo ya vijijini ili kuboresha na kuhamasisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi mkoani Manyara. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 27, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu,…

Read More