
PSSSF YAWANOA JESHI LA POLISI TANZANIA JINSI YA KUWASILISHA NYARAKA KIDIJITALI
Dar Es Salaam MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendesha mafunzo ya namna ya kuwasilisha madai kupitia mifumo ya TEHAMA kwa maafisa wa Dawati la Mafao wa Jeshi la Polisi Tanzania. Akizungumza na maafisa hao jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul-Razaq Badru, amesema, kwa sasa PSSSF imejikita…