
Dkt.Biteko ateta na balozi wa Marekani nchini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Michael Battle Sr. kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ikiwamo matumizi ya vyanzo mbalimbali vya nishati ya umeme Mazungumzo hayo yamefanyika Mei 14, 2024 katika Ofisi ndogo za Wizara, Jijini Dar es Salaam, ambapo viongozi…