
Rais Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania na kupata maelezo kuhusu Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Bw.Aristid Kanje kwenye Kongamano la Sita la Afrika Mashariki la wadau wa masuala ya Usafiri wa Anga….