Wapalestina na kumbukumbu ya miaka 76 ya Nakba – DW – 15.05.2024

Nakba, neno la Kiarabu linalomaanisha janga, ndilo lililotumika kuelezea masaibu ya Wapalestina kufurushwa kwa nguvu katika makaazi yao. Wapalestina 700,000 walifurushwa majumbani mwao wakati wa vita vya Israel na Waarabu mwaka 1948, vilivyofungua njia ya kuundwa rasmi dola la Israel. Baada ya vita hivyo, Israel ilikataa Wapalestina kurejea makwao, kwasababu hatua hiyo ingesababisha Wapalestina kuwa…

Read More

DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA KUBORESHWA JULAI MWAKA HUU

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza na waandishi wa habari Mjini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 15 Mei, 2024, ambapo ametangaza kuwa uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024. (Picha na INEC). Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji…

Read More

Serikali yaongeza siku tano za kuomba kazi Polisi

Dodoma. Serikali imeongeza siku tano za kuomba ajira kwenye Jeshi la Polisi ambapo siku yake ya mwisho ilikuwa kesho Mei 16, 2024. Hayo yamesemwa leo bungeni Mei 15, 2024 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyotolewa bungeni na Mbunge wa Makete, Festo Sanga aliyetumia kanuni namba…

Read More

miche 1000 ya matunda ya Parachichi imetolewa bure kwa vijana Kupitia mradi wa BBT Njombe

Kupitia mradi wa BBT unaotarajia kuanza kwa vikundi vya vijana wilayani Njombe,miche 1000 ya matunda ya Parachichi imetolewa bure ili kuanza kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi kupitia zao hilo. Akizungumza na Ayo TV shambani kwake mkulima maarufu wa zao hilo bwana Stiven Mlimbila alipotembelewa na baadhi viongozi wa mradi huo amesema yuko tayari kutoa mchango huo…

Read More

Wabunge na hoja tano zilizoibua hisia Bunge la Bajeti

Dar es Salaam. Ukiwa umetimia mwezi mmoja tangu Bunge la Bajeti lianze vikao vyake, hoja tano za wabunge zimeibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na watu tofauti wamezizungumzia ama kwa kuzikosoa, kuzishangaa na wengine kuziunga mkono. Hoja hizo ni pamoja na kuondolewa kwa fedha za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa elimu ya juu, tozo za…

Read More