BoT yatoa angalizo mikopo ‘kausha damu’

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka Watanzania kutoa taarifa juu ya uwepo wa taasisi, kampuni au watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha bila kuwa na leseni au kutozingatia taratibu zilizowekwa. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni udhibiti wa watu wanaotoa mikopo kiholela ambayo baadhi imekuwa ikiwaumiza wananchi kwa kuwapa riba kubwa ikilinganisha na…

Read More

FCS NA TRADEMARK AFRIKA WASAINI KUTEKELEZA MRADI WA BIL. 2.3

  Dar Es Salaam Tanzania, 14 Mei 2024  Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa za kimfumo katika biashara na changamoto ya tabia…

Read More

RC Serukamba azionya taasisi zisizotumia mfumo wa NeST

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital-Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ametoa onyo kwa watendaji wa taasisi nunuzi wanaotumia visingizio mbalimbali kukwepa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) unaosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Serukamba ametoa onyo hilo Mei 13, 2024 mjini Iringa wakati akifungua mafunzo…

Read More

Hali si shwari kwenye familia

Dar es Salaam. Wakati Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia, taasisi hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto lukuki ikiwamo migogoro ya ndoa, malezi duni na ongezeko la watoto wa mitaani. Changamoto hizi zimechochea mmomonyoko wa maadili miongoni mwa watoto na vitendo vyenye athari  ikiwamo kujihusisha na vitendo vya ngono katika umri…

Read More

Profesa Assad kuongoza timu ya wataalamu kubadili mitalaa TIA

Morogoro. Profesa Mussa Assad anatarajia kuongoza timu ya wachumi na wataalamu wa mahesabu hapa nchini, kupitia na kubadili mitalaa ya kufundishia katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) ili kuwawezesha wahitimu kukidhi mahitaji ya soko la ajira. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Mei 14, 2024, Ofisa Mtendaji mkuu wa taasisi hiyo, Profesa William Pallangyo amesema…

Read More

TEMESA, GAWS WAKUTANA KUBADILISHANA UWEZO KATIKA UTOAJI HUDUMA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WATAALAMU kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Wataalamu kutoka Wakala wa Karakana Kuu ya kutengeneza Magari Zanzibar (GAWS) wamekutana kujadili namna watakavyobadilishana uwezo kuhakikisha taasisi hizo zinafanya vizuri katika utoaji huduma. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 14,2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji GAWS…

Read More