
Wavuvi walalama kufungwa Ziwa Tanganyika
Mwanza. Baadhi ya wavuvi wa mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi inayozungukwa na Ziwa Tanganyika wamesema hawajui hatima yao wakati ziwa hilo likifungwa. Imeelezwa kuwa ziwa linafungwa leo na litafunguliwa Mei 15, 2024 ili kupisha uzalishaji wa mazalia ya samaki. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na Mwananchi leo amesema kufungwa kwa ziwa…