SADC yazindua kanzidata ya dawa SMD

Dar es Salaam. Kanzi data ya dawa kwa ajili ya nchi wanachama wa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC), Med Database SMD imeanzishwa ili kusaidia kila nchi kupata taarifa ya bei ya bidhaa za afya wakati wa kufanya ununuzi. Hatua hiyo imefuata baada ya mawaziri wa afya wa SADC, kuridhia taarifa ya mshauri…

Read More

Kamati kuu Chadema ‘yawafyeka’ wagombea hawa

Dar es Salaam. Usaili wa siku mbili wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeacha kicheko, kilio na simanzi kwa watia nia waliopenya na wanaodaiwa kukatwa majina yao baada ya kutokidhi vigezo. Mchakato huo ulioitimishwa usiku wa kuamkia leo Jumanne, Mei 14, 2024 ulikuwa wa moto na…

Read More

NMB yazindua akaunti ya kidijitali kwa wajasiriamali

BENKI ya NMB imezindua akaunti maalum ya kidijitali iitwayo ‘NMB Niwekee,’ inayolenga kuleta ukombozi wa maisha ya baadaye ya watu walio nje ya mfumo rasmi wa ajira, ambayo inajumuisha faida kedekede ikiwemo bima ya maisha yenye fidia hadi ya Sh. 50 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). NMB Niwekee ambayo ni fursa na wepesi wa…

Read More

Afrika yahitaji mabilioni ya majiko salama, IEA – DW – 14.05.2024

Barani Afrika, msukumo kuelekea upishi unaozingatia hali ya hewa umekuwa nyuma ikilinganishwa na kwingineko ulimwenguni. Jambo ambalo shirika la Kimataifa la Nishati IEA linatarajia kubadilisha Kwenye mkutano wa kilele unaoendelea huko Paris, unaolenga kukusanya dola bilioni 4 kila mwaka kwa miradi ya upishi kutumia nishati salama kote barani humo. Kulingana na shirika la IEA, uchafuzi…

Read More

Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana

Unguja. Mwanaamina Farouk, mke wa Balozi wa Tanzania anayemaliza muda wake nchini Comoro, Pereira Ame Silima, amelalamika kuvamiwa na kutishiwa maisha nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Pia, amelilalamikia Jeshi la Polisi akidai limeshindwa kufuatilia tukio hilo. Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limekiri kupokea taarifa za tukio hilo likieleza linalifuatilia. Hilo linajiri mwezi mmoja ukiwa umepita…

Read More

Madeleka aibwaga Jamhuri kesi za kubambikiwa

Wakili Peter Madeleka ameshinda rufaa yake namba 263 ya mwaka 2022 aliyoikata dhidi ya Jamhuri katika Mahakama ya rufani nchini akiomba mahakama hiyo kuruhusu kupitia mienendo ya mashauri yenye shaka katika mahakama  za chini. Anaripoti Regina Mkonde… (endelea). Hatua hiyo imekuja baada ya Mahakama  ya Rufaa Tanzania kutoa uamuzi uliosema kesi zinazoendelea katika mahakama za…

Read More

Kuna mkwamo kwenye mazungumzo ya usitishaji vita Gaza – DW – 14.05.2024

Akizungumza kwenye mkutano wa Kiuchumi huko Doha Qatar leo, mwanadiplomasia huyo mkuu wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman amesema kumekuwa na “tofauti ya kimsingi” kati ya pande mbili husika kwenye machafuko hayo. Ameeleza kuwa upande mmoja unataka kumaliza vita kabla ya kuwaachilia mateka wote waliobaki, ilhali upande mwingine unataka mateka waachiliwe huru huku vita vikiendelea. Kulingana…

Read More