
Sh500 bilioni kutumika kuboresha miundombinu Muhimbili
Dodoma. Sh500 bilioni zitatumika kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kuwezesha huduma zote za kibingwa na ubingwa bobezi kupatikana. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Jumanne Mei 14, 2024 alipojibu swali la mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa. Katika swali, mbunge huyo amehoji kwa kuwa matibabu ya kibingwa na bobezi bado…