Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Dar es Salaam. Mahakama nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu aliyekuwa mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (NFIA), Baltasar Engonga kwenda jela miaka minane kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kujitajirisha kinyume cha sheria. Ikumbukwe Engonga aligonga vichwa vya habari duniani mwaka jana 2024 baada ya kusambaa kwa kasi kwa kanda za…

Read More

PROF. KITILA MKUMBO NA KAIRUKI WAREJESHA FOMU

:::::::: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Professa Kitila Mkumbo leo Agosti 27, 2025 amerudisha fomu yake ya uteuzi wa kugombea kwenye jimbo hilo ili kuteuliwa na Tume Huru ya Uchaguzi(INEC). Kitila ambaye amekuwa Mbunge wa jimbo hilo kuanzia mwaka 2020 leo amerejesha fomu baada ya kuichukua Agosti…

Read More

WMU YAJIIMARISHA KATIKA TATHMINI NA UFUATILIAJI.

…………… Na Sixmund Begashe -Dodoma  Wizara ya Maliasili na Utalii (WMU) kupitia Kitengo  cha Ufuatiliaji na Tathmini, imewakutanisha wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka idara, vitengo na  taasisi zake kwa lengo la kujadili na kujipanga katika kutekeleza shughuli za Ufuatiliaji na Tathmini wa Sera, Mipango, Mpango Mkakati, Ilani ya Uchaguzi (2025), miradi na programu mbalimbali…

Read More

Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuua, kuiba bodaboda

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, iliyokaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu dereva bodaboda, Ibrahim Othman maarufu kama Boban, kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia. Othman, anadaiwa kumuua dereva bodababoda mwenzake, aitwaye Mahmud Peya, tukio analodaiwa kulitenda Februari 4, 2023, Mbagala Kuu njia…

Read More

SERIKALI YAENDELEA KUIBORESHA ELIMU YA WATU WAZIMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali itaendelea kuiboresha Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) ili kuwezesha Watanzania walio nje ya mfumo rasmi wa elimu kupata fursa ya kujifunza na kuongeza ujuzi. Akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya TEWW, Prof. Mkenda alisema Serikali inajivunia mafanikio…

Read More