
Dodoma yakabidhiwa gari lenye uwezo wa kuzima moto ghorofa 10
Dodoma. Jeshi la Zima Moto na Uokoaji jijini hapa, limepewa mtambo wa kuzima moto wenye uwezo wa kufika kwenye jengo lenye urefu wa ghorofa 10 ikiwa ni sehemu ya mitambo 12 iliyokabidhiwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za jeshi hilo. Mikoa ya zimamoto na uokoaji iliyokabidhiwa mitambo hiyo ni pamoja na Dodoma, Ilala, Mwanza,…