
Mshindi ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ akabidhiwa trekta
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha msimu wa tatu wa kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi kwa kukabidhi zawadi kuu ya trekta kwa mshindi wa kampeni hiyo ambaye ni Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao. Anaripoti Mwandishi Wetu ……