
HITILAFU NYAYA BAHARINI KWASABABISHA KUKOSEKANA KWA HUDUMA ZA INTANETI NA SIMU ZA KIMATAIFA NCHINI
HITILAFU za nyaya baharini zimesababisha kukosekana kwa huduma ya intaneti na huduma za simu za kimataifa nchini Tanzania leo kuanzia majira ya saa tano asubuhi. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa X awali Twitter, ameeleza kuwa taarifa kutoka kwa watoa…