
Wenye fani, sifa hizi ajira nje nje Polisi
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi makao makuu Dodoma Mei 9,2024, imeeleza miongoni mwa nafasi hizo…