
Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho
Dar es Salaam. Wakati kikao cha siku tatu cha Kamati Kuu ya Chadema kikianza leo Mei 11, 2024, baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa kanda nne za chama hicho wameeleza hofu ya ushindani mkali uliopo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Jumla ya watia 135 nia wa nafasi mbalimbali kutoka Kanda za Serengeti (Mara,…