
Bulaya alipua bomu wadaiwa sugu wa maji, vinara hadharani
Dodoma. Wakati Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akisema suala la ufinyu wa bajeti ya Wizara ya Maji litajadiliwa kati ya Kamati ya Bajeti na Serikali, mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya amesema taasisi za umma zinadaiwa ankara za maji za Sh26 bilioni. Katika mchango wake bungeni, Bulaya alieleza taasisi za majeshi ndizo zinazodaiwa madeni…