
Kwa nini India haipigii debe mabadiliko ya tabianchi? – DW – 10.05.2024
Wakati Mto Yamuna unaopita katika eneo la mji mkuu wa India ulipofurika na kupasua kingo zake mwaka uliopita, mji huo wa New Delhi ulijikuta ukikabiliwa na dharura ya mafuriko. Ni katika hali hiyo ya janga, ndipo Bhagwati Devi aliyekuwa akilima kijibustani kidogo cha mboga katika eneo la tambarare la Yamuna kwenye viunga vya New Delhi alihamishwa…