
Ashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mama yake hadi kumuua
Katavi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linamshikilia Mathias Elias (30) kwa tuhuma za kumbaka hadi kumuua mama yake mzazi akidhani na demu wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amebainisha hayo leo Ijumaa Mei 10, 2024 kwenye mkutano wa kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Uhuru. Amesema…