WAKULIMA WA MITI KONDOA WAJIFUNZA MBINU BORA KITUO CHA TFS MOROGORO
WAKULIMA 24 wa miti kutoka Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma, wametembelea Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro kinachosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ili kujifunza mbinu bora za uandaaji wa vitalu na upandaji wa miti baada ya kukumbana na changamoto ya miche kutoota ipasavyo kwenye mashamba yao. Ziara hiyo ni sehemu ya…