
Deby ashinda uchaguzi mkuu – DW – 10.05.2024
Tuelekee huko nchini Chad ambapo kiongozi wa kijeshi nchini humo Mahamat Idriss Deby Itno ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Mei 6, lakini mpinzani wake mkuu anayapinga matokeo hayo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi. Ushindi huo wa Deby utarefusha utawala wa familia yake ambayo imekuwepo madarakani kwa miongo kadhaa sasa. Soma zaidi. Idriss Deby Itno atangazwa…