
Kenya : Siku ya kuwaomboleza walioathiriwa na mafuriko
Rais William Ruto wa Kenya ametangaza kuwa siku ya leo Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko ili kuwaomboleza watu 238 waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyoiathiri nchi hiyo. Rais Ruto jana alitangaza pia itakuwa siku ya kupanda miti ili kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Kenya pamoja na maeneo mengine ya Afrika Mashariki yameathiriwa…