
Sababu wanaume kuwa hatarini kupata kiharusi
Miongoni mwa tabia hatarishi kwa wanaume ni kutokuwa na mwamko wa kusaka matibabu, ikilinganishwa na wanawake. Tabia hii imeelezwa kuwa kisababishi cha vifo vya mapema, kwani wengi hushindwa kujua hali zao za kiafya, ikiwemo magonjwa mbalimbali, hasa yasiyoambukiza na hivyo kukosa tiba za mapema. Kiharusi ni miongoni mwa magonjwa yanayoongezeka kwa sasa, kikiathiri zaidi watu…