
Mpango ataja vipaumbele tisa kampeni ya Mtu ni Afya
Pwani. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema nchi itajikita katika vipaumbele tisa, kwenye awamu ya pili ya Kampeni ya Mtu ni Afya. Vipaumbele hivyo ni pamoja na namna ya kushughulikia magonjwa yanayosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, ikiwemo magonjwa ya mfumo wa hewa. Kampeni ya Mtu ni Afya iliyotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa…