
Urusi haitaruhusu vitisho – DW – 09.05.2024
Ameyasema hayo wakati leo Urusi ikiadhimisha miaka 79 ya ushindi wa umoja wa Kisovieti dhidi ya utawala wa Kinazi wa Ujerumani katika vita vya pili vya dunia. Maadhimisho hayo ya ‘Siku ya Ushindi ‘ yameongozwa na rais Vlamdir Putin mapema Alhamisi mjini Moscow. Katika tukio hilo wanajeshi 9,000 wameshiriki katika gwaride la heshima ambapo 1,000…