
DKT.BITEKO ATAKA Ma-DC, Ma-DAS NA Ma-DED KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA KUZINGATIA SHERIA
📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria 📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo 📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya ardhi 📌Wakafanyie kazi mapendekezo ya ripoti ya Haki Jinai Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmshauri nchini…