
TANZANIA COMMERCIAL BANK (TCB) YAZINDUA KAMPENI KABAMBE YA KIKOBA KIDIGITALI
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo, akipeperusha bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa Kikoba Kidigitali uliofanyika leo Mei 9,2024 Jijini Dar es Salaam. Na: Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Kufuatia kukua na kuimarika kwa Maendeleo ya Teknolojia nchini kumewezesha wananchi wengi kupata huduma za kibenki kwa njia salama na kuwa na uhakika…