
CCM Morogoro wamjibu Lissu – Mtanzania
*Wasema hoja zake hazina mshiko Na Ashura Kazinja, Morogoro Katibu wa Siasa, Uenazi na Mafunzo Mkoa wa Morogoro, Zangina Shanang amejibu hoja tano zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu na wenzake katika mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 30, mwaka huu mkoani Morogoro na kusema kuwa hoja hizo ni za upotoshaji. Katibu wa Siasa…