Afrika Kusini kupigania msaada mapambano ya Ukimwi
Pretoria. Serikali ya Afrika Kusini imesema haitaruhusu kuondolewa kwa takribani (dola milioni 427) sawa na Sh1.1 trilioni zilizokuwa zinatolewa na Marekani, kudhoofisha programu yake kubwa ya kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Kwa mujibu wa AP News, Programu hiyo, ingawa ni kubwa inakabiliana na changamoto, huku wataalamu wa afya wakionya kuwa katika miaka michache…