
Wingu uchaguzi Serikali za mitaa Tanzania, Tamisemi yatoa ufafanuzi
Dar es Salaam. Ikiwa imebaki miezi minne kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehoji kutotolewa kwa kanuni za uchaguzi huo hadi sasa ukiwa umebaki muda mfupi. Mbowe amehoji hayo leo Jumatano, Mei 8, 2024 jana jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kitaifa wa kutafakari na kujenga uelewa wa…