HAKUNA MTU ALIYE NA HAKI YA KUITISHIA ICC – DUJARRIC

Maseneta wa Marekani walioitishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Stephen Dujarric ameeleza kuwa misaada inapaswa kuingia Ukanda wa Gaza bila ya kizuizi chochote na kwamba upande wowote haupaswi kutoa vitsho kwa wafanyakazi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). Dujarric ambaye ni Msemaji wa Katibu Mkuu…

Read More

Sababu Tanzania kuteuliwa WHO Afrika

Dar es Salaam. Kufanikiwa katika afua za afya ikiwamo miundombinu katika ngazi ya msingi, kupunguza vifo vya wajawazito na afya kwa wote ni miongoni mwa sifa za Tanzania kupewa nafasi ya kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo ambayo ni mara ya kwanza kupewa nchi za Afrika…

Read More

Petroli yapanda, dizeli ikishuka Zanzibar

Unguja. Wakati petroli ikipanda bei, dizeli imeshuka visiwani Zanzibar. Bei ya petroli imepanda kutoka Sh3,133 ya Aprili hadi Sh3,182 kwa lita moja ikiwa ni tofauti ya Sh49 sawa na asilimia 1.56. Dizeli kwa mwezi huu (Mei), itauzwa Sh3,146 kutoka Sh3,165 za Aprili, 2024 ikiwa tofauti ya Sh19 sawa na asilimia 0.60. Bei mpya zitaanza kutumika…

Read More

Wanachopaswa kufanya maofisa Tehama taasisi za Serikali

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikijizatiti katika matumizi ya teknolojia, ikiwamo kwenye uhifadhi wa taarifa muhimu, wadau wameshauri taasisi zinazotumia mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliani (Tehama) kuongeza ufanisi zaidi. Serikali tayari imeanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika matumizi ya mfumo wa Tehama na imeandaa mwongozo wa matumizi bora, sahihi na salama…

Read More

MALIPO YA WATOA HUDUMA HUZINGATIA MIKATABA YA ZABUNI

 Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa ulipaji wa madai yanayotokana na kupokelewa kwa bidhaa au huduma huzingatia masharti ya mikataba ya zabuni au kandarasi iliyoingiwa kati ya Serikali na mtoa huduma. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Temeke Mhe….

Read More

Wapalestina waukimbia mji wa Rafah – DW – 08.05.2024

Licha ya mayowe kutoka kwa jamii ya kimataifa kupinga mashambulio hayo ya ardhini, Israel ilipeleka vifaru vyake katika mji wa Rafah hapo jana Jumanne na wanajeshi wake wakakiteka kivuko kinachounganisha mji wa Rafah na Misri ambacho ni njia kuu ya kupitishia misaada kwenda katika eneo lililozingirwa la Palestina. Soma Pia: Guterres asema kushambulia Rafah itakuwa janga…

Read More