
Dk Tulia: Nishati safi ni ukombozi kwa wanawake
Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema mabadiliko ya matumizi ya nishati kutoka chafu kwenda safi ya kupikia ni ukombozi kwa wanawake dhidi ya mambo mbalimbali. Kutokana na matumizi ya nishati hiyo, Dk Tulia amesema mwanamke atakomboka dhidi ya magonjwa na kiuchumi. Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge…