
Simulizi ya mjumbe wa shina aliyekatwa mkono akiamua ugomvi wa wenza
Arusha. Ni simulizi ya kusikitisha ya Mjumbe wa Shina namba 12, Mtaa wa Olkerian Kata ya Olasiti jijini Arusha, Nancy Simon ambaye amepata ulemavu baada kukatwa kwa panga mkono wa kulia na mwanaume mmoja mkazi wa eneo hilo aliyekuwa na ugomvi na mke wake. Tukio hilo lilitokea Mei mosi, mwaka huu nje ya Kanisa la…