Putin aapishwa kwa muhula mwingine kama rais wa Urusi

Vladimir Putin aliapishwa kwa muhula wake wa tano kama kiongozi wa Urusi Jumanne, akiongeza tena utawala wake juu ya nchi katika sherehe nzuri ya Kremlin wakati jeshi lake likisonga mbele nchini Ukraine katika kilele cha makabiliano mabaya zaidi ya Moscow na Magharibi tangu enzi ya Soviet. Putin, mwenye umri wa miaka 71, alirefusha utawala wake…

Read More

TotalEnergies kutoa tuzo kwa makampuni wakati wa kuadhimisha Miaka 100

TotalEnergies imeanzisha tena shindano lake la makampuni machanga ambapo inalenga kutoa tuzo kwa wajasiriamali 100 kutoka Afrika. Shindano la mwaka huu, ambalo linajumuisha nchi 32 za Afrika ambapo kampuni hiyo inafanya kazi, limepewa “umuhimu maalum” wakati kampuni hiyo inasherehekea miaka 100. Shindano hilo linayojulikana kama “Mwanzilishi wa Mwaka na TotalEnergies” inaingia mwaka wa nne sasa…

Read More

Wanaotaka kujifunza ZEC kwao kukoje?

MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina amesifia usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwamba ulikuwa mzuri na safi, na kwamba wanapokea maombi ya watendaji wa nchi kadhaa kutaka kuja kujifunza. Anaandika Jabir Idrissa… (endelea). Huyu Thabit Idarous Faina ndo aliyekuwa kinara katika usimamizi wa uchaguzi ule ambao mpaka sasa,…

Read More

Rukwa yapata Sh6.5 bilioni za dharura kurejesha miundombinu ya barabara

Dar es Salaam. Serikali imetoa Sh6.5 bilioni kwa Mkoa wa Rukwa kwa ajili ya kufanya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara iliyoharibika kutokana na mvua za El Nino zilizonyesha mkoani hapo. Fedha hizo zimepitia Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), taasisi yenye jukumu la kuhakikisha mawasiliano yanapatikana na kuwarahisishia mawasiliano wananchi. Akizungumza jana Jumatatu, Mei 6, 2024…

Read More

Biteko, Nape wanadanganya?

KWA mila na desturi zetu za Kiafrika mkubwa huwa hakosei, ndiyo maana tunasema bosi katoka kidogo siyo katoroka. Meneja  hajafika bado siyo kachelewa na baba hakurudi jana siyo kwamba baba alichepuka. Anaandika Nyaronyo Kicheere (endelea). Kwa mantiki hiyo, sisi watoto wa Kiafrika tuliolelewa vizuri tunakatazwa kusema kwamba mtu fulani mkubwa kasema uongo au kwamba mzee…

Read More