
Kila mwanachama mwenye sifa anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote,lakini kwenye uteuzi si kila mtu atateuliwa
Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi amewatahadharisha watu wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi zijazo kupitia chama cha mapinduzi hususani katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani 2025 kuelewa namna mchakato wa kupata wagombea unavyokuwa kwani kwa mujibu wa katiba kila…