Maandalizi ya CHAN 2024 na afcon 2027 yapambamoto

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027 yatakayofanyika nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kilichofanyika Mei 6, 2024 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimejadili ukarabati wa miundombinu ambayo itatumika katika mashindano hayo iliyopo Tanzania Bara na…

Read More

Picha: Waziri wa Elimu na Viongozi wengineo walivyowasili bungeni Bajeti ya Wizara hiyo Mwaka fedha 2024/2025

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda alivyowasili Bungeni jijini Dodoma tayari kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ina kauli mbiu inayosema ‘Elimu ujuzi ndio mwelekeo’ ikiwa na maana msisitizo na mkazo katika mitaala yetu utajikita zaidi katika…

Read More

Eneo la Kitanzini Wajerumani walipokuwa wakinyonga Wahehe kujengwa makumbusho

Iringa. Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema wanatarajia kujenga makumbusho ili kuhifadhi historia ambako Wajerumani wakati wa utawala wao walikuwa wakiwanyonga Wahehe waliomtii Chifu Mkwawa. Eneo hilo, inasemekana kulikuwa na mti uliotumika kuwanyongea raia hao wenyeji na kuwa aliyefikishwa hapo alifungwa kitanzi shingoni na kuning’inizwa hadi kufa. Neno ‘kitanzi’ ndilo lililozaa jina la…

Read More

Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma

Dodoma. Wakati Bunge la Tanzania likipitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, Serikali imesema mwishoni mwa mwaka 2024 ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max itaanza kwenda Dodoma mara mbili kwa siku. Pia, Serikali imesema wananchi wa Kipunguni jijini Dar es Salaam waliopisha uwanja wa ndege, wataanza kulipwa fedha zao mwaka huu, baada ya kusubiri…

Read More