SERIKALI KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA MIUNDOMBINU NA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA UMEONGEZA TIJA NA UFANISI WA BANDARI -TPA

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema maamuzi ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu na ununuzi wa vifaa vya kisasa pamoja na kushirikisha sekta binafsi katika uendeshaji wa Bandari nchini, yamekuwa na tija kwa kuongeza ufanisi na uwezo wa Bandari ya Dar es Salaam, kuhudumia tani milioni 27.7 kwa mwaka wa fedha wa…

Read More

Homera Achukua Fomu ya ugombea Ubunge katika Jimbo la Namtumbo kwa tiketi ya CCM, Atangaza Kuvunjwa Makundi Yaliyokuwepo

Na Mwandishi Maalum, Namtumbo ALIYEWAHI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt Juma Zuber Homera,amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Namtumbo Mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi na kutangaza rasmi kuvunjwa kwa makundi yote yaliyokuwepo wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama hicho. Akizungumza na mamia ya Wanachama…

Read More

Mwabukusi: Hoja ya Chadema kuhusu ‘reforms’ ya kweli huwezi kuipuuza

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema yapo maeneo muhimu katika shughuli ya kuelekea uchaguzi mkuu yaliyotakiwa kufanyiwa marekebisho kutokana na changamoto zinazolalamikiwa, lakini hayakuguswa kufanyiwa marekebisho.  Msingi wa kuyasema hayo unatokana na majadiliano na mijadala yaliyofanywa kati ya TLS na wadau mbalimbali ikiwemo asasi za kiraia juu ya kuelekea ushiriki wa…

Read More

Msafara wa Mpina wazuiwa kuingia ofisi za INEC

Msafara wa mtiania wa urais wa Chama cha ACT –Wazalendo, Luhaga Mpina amezuiwa kuingia ndani ya jengo la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) jijini Dodoma. Msafara huo ulifika saa 6 mchana ya leo Jumatano, Agosti 27, 2025 ambapo askari kanzu na waliovalia sare wamelifunga geti la ofisi hizo  ili asiingie. Jana Jumanne, Mkurugenzi…

Read More