
KATIBU MKUU MAGANGA AIPONGEZA WCF KWA UTENDAJI UNAOFUATA VIWANGO VYA KIMATAIFA
-Ataka WCF kukamilisha mchakato wa kupata Ithibati ya Viwango vya Kimataifa (ISO) Na Mwandishi Wetu – DODOMA Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa wafanyakazi. Mhe….