
Watoto wanene kupita kiasi waanza kupungua
Dodoma. Ni matumaini makubwa kwa familia ya Joseph Kalenga na mkewe Vumilia Elisha baada ya watoto wao Imani (7) na Gloria Joseph (4) waliokuwa na uzito kupita kiasi, kuanza kupungua uzito. Mafanikio hayo yamefuatia matibabu lishe waliyopewa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, waliyopewa wiki chache zilizopita. Mpaka kufikia leo Jumatatu Mei 6, 2024 Imani amepungua…