
Ujerumani yahimiza kuendelea mazungumzo ya amani huko Gaza – DW – 06.05.2024
Wizara ya Afya ya Gaza inayoongozwa na Hamas imesema Jumatatu kwamba karibu watu 34,735 wameuawa katika eneo hilo la Palestina katika vita baina ya Hamas na Israel vilivyodumu kwa miezi saba sasa. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani amesema hakuna sababu ya kuhujumu mazungumzo hayo na pande zote zinatakiwa kufanya jitihada za kila hali…