
Kaya 413 zazingirwa na maji Lamadi mkoani Simiyu
Na Samwel Mwanga,Busega KAYA 413 zilizoko katika Kata ya Lamadi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na hivyo kusababisha kuongezeka kwa kina cha maji kwenye Ziwa Victoria. Nyumba hizo ziko mwambao mwa Ziwa Viktoaria katika kitongoji cha Lamadi, Itongo na Makanisani. Mwenyekiti…