
Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL
Dodoma. Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele, ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 6, 2024 na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa wakati akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka…