
WANAFUNZI WA KIMATAIFA CHUO KIKUU MZUMBE WAWASILISHA MATOKEO YA TAFITI ZA AWALI KUHUSU MAJI, ELIMU NA USALAMA WA CHAKULA
Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Antwerp Ubelgiji na Chuo Kikuu cha Kikristu cha Uganda ambao wapo katika programu ya kubadilishana Wanafunzi na Chuo kikuu Mzumbe wamewasilisha matokeo ya awali ya tafiti walizofanya kwenye maeneo ya maji, elimu na usalama wa chakula kwa kusimamiwa na wahadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao…