
Wafanyabiashara waliokwama Somanga wasimulia adha kukatika kwa barabara
Lindi/Mtwara.Wafanyabiashara wa Kusini wanaotumia barabara kuu inayokwenda mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wamezungumzia adha wanayoipata kutokana na kukatika kwa barabara hiyo muhimu kwa uchumi wa watu wa kusini na Taifa kwa ujumla. Maoni ya wafanyabiashara hao yanafuata baada ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Taifa, Hamis Livembe kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara kutokana na miundombinu ya…