
MADAKTARI BINGWA 40 KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI ZA HALMASHAURI ZOTE RUVUMA
Na Albano Midelo,Songea Huduma za mkoba za madaktari Bingwa zinatarajia kuanza kutolewa katika hospitali za Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei sita hadi 10 mwaka huu. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Louis Chomboko amesema timu ya madaktari bingwa 40 ipo mkoani Ruvuma na inatarajia kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali…