
RC ANDENGENYE ATAKA VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO JKT KUTUMIA UJUZI WALIOPATA KUJIAJIRI
MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akishuhudia kiapo cha utii cha vijana wa mafunzo ya JKT…